Panikulitisi

Imepitiwa/Imerekebishwa Jan 2023

Panikulitisini nini?

Panikulitisi ni kuvimba kwa tabaka la mafuta chini ya ngozi yako.

  • Panikulitisi husababishwa na mambo mengi, ikiwemo maambukizi, baridi, au jeraha

  • Dalili hujumuisha viuvimbe laini, vyekundu chini ya ngozi

  • Hakuna tiba, lakini madaktari wanaweza kukupatia dawa za kutuliza dalili zake

Je, nini husababisha panikulitisi?

Chanzo kilichozoeleka ni:

  • Maambukizi

Sababu nyingine zinajumuisha:

Zipi ni dalili za panikulitisi?

Dalili zinajumuisha:

  • Viuvimbe vyekundu, vikubwa na laini kwenye ngozi, mara nyingi kwenye miguu au mikono

  • Homa

  • Maumivu ya viungo na misuli

  • Kuumwa

Madaktari wanawezaje kujua ikiwa nina panikulitisi?

Madaktari wanaweza kujua una panikulitisi kwa kukufanyia uchunguzi. Ili kufahamu kwa hakika, madaktari wanaweza kuondoa kipande cha tishu kwa uchunguzi (kuchukua kipande kidogo cha tishu ili kukichunguza kwenye hadubini).

Je, madaktari wanatibu vipi panikulitisi?

Madaktari hutibu panikulitisi kwa kutumia: