Muhtasari wa Mfumo wa Kusaga Chakula

Imepitiwa/Imerekebishwa Mar 2023

Mfumo wa kusaga chakula ni nini?

Kusaga chakula ni mchakato wa kugawanya chakula katiika virutibishi tofauti ambavyo hutumika mwilini mwako.

Njia ya mmeng'enyo wa chakula (pia inaitwa njia ya utumbo na tumbo au GI) ni mrija mtupu ambao chakula hupitia unapokimeza, hukimeng'enywa, na kisha uchafu kutolewa kama kinyesi. Njia ya meng'enyo wa chakula imeundwa na sehemu zifuatazo:

Mfumo wa umeng'enyaji wa chakula ni njia yako ya mmeng'enyo wa chakula pamoja na ogani ambazo ziko nje ya njia ya mmeng'enyo wa chakula lakini zenye kusaidia kumeng'enya chakula:

Ubongo wako na mfumo wa kusaga chakul vimeunganishwa. Muunganiko huu huitwa mhimili wa ubongo-utumbo. Afya yako ya akili huathiri afya yako ya usagaji chakula, na afya yako ya usagaji chakula huathiri afya ya akili yako. Kwa mfano, ikiwa unahisi msongo au wasiwasi, unaweza pia kuhisi tumbo lako linauma.

Mfumo wa Kusaga Chakula