- Ni nini maana ya kuvuja damu ndani ya subaraknoidi?
- Je, ni nini husababisha kuvuja damu ndani ya subaraknoidi?
- Ni zipi dalili za kuvuja damu ndani ya subaraknoidi?
- Madaktari wangu watajuaje iwapo nimepata tatizo la kuvuja damu ndani ya subaraknoidi?
- Je, madaktari hutibu vipi tatizo la kuvuja damu ndani ya subaraknoidi?