Biashara na Ushirikiano

Maudhui ya Mwongozo wa MSD yanapatikana kwa ajili ya kutumia kwa sehemu au yote. Yanaweza kufanywa kuwa mahususi na kupangiliwa ili kufaa mfumo wako. Viungo vilivyopachikwa na wijeti za utafutaji ni miongoni mwa masuluhisho yanayotolewa. Mwongozo wa MSD umekuwa rejea ya afya inayoaminika zaidi ulimwenguni kwa zaidi ya miaka 100 na tumejizatiti kutafuta njia bunifu za kutoa mbinu za elimu na taarifa kwa wauguzi na wagonjwa.