Maikrosefali (Ulinganisho wa Ukubwa wa Kichwa)

Maikrosefali (Ulinganisho wa Ukubwa wa Kichwa)

Katika picha hii, mtoto aliye upande wa kushoto ana ubongo na kichwa kidogo, kuonyesha ana maikrosefali.

Picha kwa hisani ya Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa, Kituo cha Kitaifa cha Kasoro za Kuzaliwa Nazo na Ulemavu.