Kifaa cha Kurekebisha Mapigo ya Moyo Kilichopandikizwa

Kifaa cha Kurekebisha Mapigo ya Moyo Kilichopandikizwa

Matatizo ya mdundo wa moyo wakati mwingine yanaweza kutibiwa kwa kutumia dawa, lakini wagonjwa wengine wanahitaji kifaa cha kurekebisha mapigo ya moyo. Vifaa maalum vya kurekebisha mapigo ya moyo vilivyo na nyaya tatu vinaweza kurejesha mapigo ya moyo ya kawaida (tiba ya kusawazisha mdundo wa moyo).