- Ninawezaje kujitunza vizuri wakati wa ujauzito?
- Je, ninapaswa kupata uzani kiasi gani wakati wa ujauzito?
- Ninapaswa kuepuka nini wakati wa ujauzito?
- Ninapaswa kunywa dawa na virutubisho nikiwa mjamzito?
- Je, ni salama kufanya mazoezi nikiwa mjamzito?
- Je, ninaweza kufanya ngono nikiwa mjamzito?
- Je, ninaweza kusafiri nikiwa mjamzito?