Kasoro ya Septamu: Tundu kwenye Ukuta wa Moyo
Kasoro ya septamu ni tundu kwenye ukuta (septamu) ambalo hutenganisha upande wa kushoto na kulia wa moyo. Kasoro ya septamu ya atiria hupatikana kati ya chemba za juu za moyo (atiria). Kasoro ya septamu ya ventrikali hupatikana kati ya chemba za juu za moyo (atiria). Katika aina zote mili, kiasi cha damu chenye oksijeni, ambacho kililengwa kwa mwili, huwa na mzungunguko mfupi. Hurejeshwa kwenye mapafu badala ya kusukumwa kwenda kwenye sehemu nyingine za mwili.