Kola ya Philadelphia
Iwapo madaktari au watoa huduma ya matibabu ya dharura wana wasiwasi kwamba mtu huyo anaweza kuwa na jeraha la mgongo, wanaweza kumwekea kola ngumu (inaitwa kola ya Philadelphia) kabla ya kumhamisha mtu huyo.