Upigaji Picha kwa Mvumo wa Sumaku (MRI)
Unapofanyiwa MRI, mtu hulala juu ya meza yenye mota ambayo huwekwa ndani ya skana kubwa yenye umbo la neli ambayo hutumia nguvu kali za sumaku, mawimbi ya redio, na kompyuta kuzalisha picha.