Uvimbe wa Koenen kwenye Changamoto ya Tuberosa Sklerosisi
Picha hii inaonyesha viuvimbe vya nyama (fibroma) ambavyo huota kuzunguka na chini ya kucha za vidole vya miguu na mikono (viuvimbe vya Koenen) kwa watu ambao wana changamoto ya tuberosa sklerosisi
© Springer Science+Business Media