Nywele za ndevu zilizokua ndani (Sudofolekulaitis Barbi)

Nywele za ndevu zilizokua ndani (Sudofolekulaitis Barbi)

Mizizi ya nywele katika eneo la ndevu imevimba. Dalili hizi husababishwa na muwasho na uvimbe unaochochewa na kunyoa lakini si kwa maambukizi halisi. Ugunduzi huu ni wa kawaida kwa sudofolekulaitis ya kidevu ambayo kwa kawaida ni sugu.

Picha kwa hisani ya Thomas Habif, MD.