Kushikilia Magoti Pamoja

Kushikilia Magoti Pamoja

Kano ya pande, moja kwa upande wa goti, huzuia goti kusonga kutoka upande hadi upande sana. Kano ya msalaba ndani ya kiungo huzuia goti kusonga mbele au nyuma sana.

Menisci ni giligili "pedi za kunyonya mshtuko" kati ya paja (fupa la paja) na mfupa mkubwa wa mguu wa chini (muundi goko), ambao hufanya sehemu ya kiungo cha goti.