Tishu Zilizokufa Kutokana na Ugonjwa wa Kuganda Tishu kwa Jalidi

Tishu Zilizokufa Kutokana na Ugonjwa wa Kuganda Tishu kwa Jalidi

Picha hii inaonyesha vidole vilivyoharibiwa na baridi kali. Tishu za vidole zimekufa na ni nyeusi. Mara nyingi tishu zilizokufa huondolewa kwa upasuaji (kukatwa).

© Springer Science+Business Media