- Moyo kushindwa kufanya kazi ni nini?
- Nani anaweza kuwa na hali ya moyo kushindwa kufanya kazi?
- Ni nini husababisha moyo kushindwa kufanya kazi?
- Je, dalili za moyo kushindwa kufanya kazi ni gani?
- Je, madaktari wanawezaje kujua kuwa nina ugonjwa wa moyo kushindwa kufanya kazi?
- Je, daktari wangu anaweza kutibu moyo wangu kushindwa kufanya kazi?
- Ni aina gani za dawa zinaweza kutibu moyo kushindwa kufanya kazi?
- Ninaweza kufanya nini ikiwa nina ugonjwa wa moyo kushindwa kufanya kazi?
- Jaribu kutulia zaidi
- Dhibiti dawa zako
- Wasiliana na daktari wako au timu ya huduma ya afya
- Kuwa na mtindo wa maisha yenye afya
- Ninawezaje kuzuia moyo kushindwa kufanya kazi?