Vidonda vitokanavyo na shinikizo vya Hatua ya 1 (Makalio)

Vidonda vitokanavyo na shinikizo vya Hatua ya 1 (Makalio)

Picha hii ya kidonda kitokanacho na shinikizo cha hatua ya 1 inaonyesha wekundu lakini ngozi haijachunuka.

Picha kutoka Gordian Medical, Inc. dba American Medical Technologies; ambayo imetumiwa kwa ruhusa.