Upele wa Mkanda wa jeshi kwenye Kifua

Upele wa Mkanda wa jeshi kwenye Kifua

Vishada vya malengelenge madogo yaliyojaa majimaji vimezungukwa na eneo dogo, jenkundu kwenye ukanda wa ngozi upande mmoja wa shina. Mwonekano huu una sifa za mkanda wa jeshi (herpesi zosta).

WASHIRIKA WA BIOPHOTO/MAKTABA YA PICHA ZA KISAYANSI