EEG
EEG ni rekodi ya shughuli za umeme za ubongo wako. Kipimo ni rahisi na hakina maumivu. Takriban elektrodi 20 za kunata huwekwa kwenye kichwa chako na shughuli za ubongo wako hurekodiwa.