Biashara na Leseni

Maudhui ya Mwongozo wa MSD yanapatikana kwa ajili ya ukataji leseni kwa sehemu au yote. Yanaweza kufanywa kuwa mahususi na kupangiliwa ili kufaa mfumo wako. Uwezo wa kuunda viungo vilivyopachikwa, wijeti za utafutaji na masuluhisho mengine yoyote mahususi hutolewa. Mwongozo wa MSD umekuwa rejea ya afya inayoaminika zaidi ulimwenguni kwa zaidi ya miaka 100 na tumejizatiti kutafuta njia bunifu za kutoa mbinu za elimu na taarifa kwa wauguzi na wagonjwa.