Uvimbe wa Pinguekula na Terijiamu
Uvimbe wa njano kwenye konjuktiva (kushoto) ni uvimbe karibu na konea. Terijia (kulia) ni uvimbe wa konjunktiva karibu na konea ambao huenea kwenye konea. Terijia inaweza kuathiri uwezo wa kuona.
Katika mada hizi