Ekokadiogramu ya Transesofajili
Ekokadiografia ya transesofajili inaweza kutumiwa wakati madaktari wanahitaji udhahiri wa juu zaidi au kuchambua aota na maumbo katika sehemu ya nyuma ya moyo. Kwa taratibu hii, transducer inapitishwa chini kwenye koo ya mtu hadi kwenye umio ili transducer ilale tu nyuma ya moyo.