Kondomu ya Ndani
Kondomu ya ndani ina kishikizo cha ndani na cha nje. Kishikizo cha upande wa ndani huingizwa kwenye uke (au tundu la haja kubwa) kwa umbali unaowezekana na kishikizo cha upande wa nje husalia nje.