Kuvimba na kupasuka kwa pembe za midomo
Picha hii inaonyesha kuvimba na kupasuka kwa pembe za midomo (wakati mwignine huitwa perlèche) kunakosababishwa na maambukizi ya Kandida katika pembe za mdomo.
© Springer Science+Business Media