MIONGOZO YA MSD

Mtoa taarifa za matibabu anayeaminiwa tangu 1899

Miongozo ya MSD ni chanzo cha taarifa za kina za matibabu kinachoangazia maelfu ya mada katika nyanja zote za tiba. Hutolewa kama huduma ya umma ya bila malipo kwa wataalamu wa huduma ya afya na umma wa jumla.

Chagua toleo ambalo linatimiza mahitaji yako kwa ubora zaidi

  • Mada zaidi ya 1000
  • Video za "Jinsi-Ya"
  • Picha Nyingi Mno
  • Vikokotoo vya Matibabu
  • Mafumbo
  • Modeli za 3D
  • Habari na Tahariri
  • Mada zaidi ya 1000
  • Uhuishaji zaidi ya 100
  • Vielelezo na Picha Nyingi Zaidi
  • Zana za Kujitathmini
  • Mafumbo
  • Modeli za 3D
  • Vipimo vya Kawaida vya Matibabu

Dhamira yetu ni rahisi:

Miongozo, kwa mara ya kwanza ilichapishwa mnamo mwaka 1899 na sasa inajulikana kama Miongozo ya MSD nje ya Marekani na Kanada, ni mojawapo ya nyenzo za maelezo ya matibabu ambazo zinatumiwa sana duniani. Miongozo imedhamiria kufanya taarifa bora zaidi za matibabu ya sasa ziweze kufikiwa na wataalamu wa huduma ya afya na wagonjwa katika kila bara.

Tunaamini kuwa taarifa za afya ni haki kwa watu wote na kuwa kila mtu ana haki ya kupata taarifa za matibabu ambazo ni sahihi na zenye kufikika. Tuna wajibu wa kulinda, kuhifadhi na kushiriki taarifa bora zaidi za matibabu ya sasa ili kuwezesha maamuzi yaliyoarifiwa, kuboresha mahusiano kati ya wagonjwa na wataalamu na kuboresha matokeo ya hudumaza afya dunia kote.

Ndiyo maana tunafanya Miongozo ipatikane bila malipo katika muundo wa dijitali katika lugha nyingi kwa wataalamu na wagonjwa dunia kote.

MSD na Miongozo ya MSD

Katika MSD tumeunganishwa kwa kuzingatia madhumuni yetu: Tunatumia ujuzi wa hali ya juu wa kisayansi kuokoa na kuboresha maisha duniani kote. Kwa zaidi ya miaka 130, tumeleta matumaini kwa binadamu kupitia uendelezaji wa dawa na chanjo muhimu. Tuna maono ya kuwa kampuni inayoongoza katika utafiti wa kifamasia duniani – na leo, tuko mstari wa mbele katika tafiti zenye kuleta masuluhisho ya afya yenye ubunifu ambayo yanaboresha kinga na matibabu ya magonjwa kwa watu na wanyama.

Kwa mara ya kwanza kilichapishwa mnamo mwaka 1899 kama kitabu kidogo cha marejeleo kwa madaktari na wafamasia, Mwongozo uliongezeka kwa ukubwa na upana na kuwa mojawapo ya rasilimali pana za matibabu zinazotumiwa zaidi duniani kwa ajili ya wataalamu na watumiaji. Jinsi Mwongozo ulivyozidi kukua, uliendelea kupanua fukiaji na undani wa matoleo yake ili kuonyesha dhamira ya kutoa taarifa bora zaidi za matibabu kwa idadi kubwa ya watumiaji, ikiwa ni pamoja na wanafunzi na wataalamu wa tiba, wanafunzi wa mifugo na madaktari wa mifugo na watumiaji. Pata maelezo zaidi kuhusu kujitolea kwetu kwa ajili ya Maarifa ya Matibabu ya Ulimwengu.

 

MIONGOZO YA MSD